Ukwala
Mandhari
Ukwala ni mji wa Kenya katika kaunti ya Siaya.
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 57,081[1].
Ukwala ni kata ya eneo bunge la Ugenya[2].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ukwala, the town that time forgot, taarifa ya Standardmedia ya mwaka 2002, iliangaliwa Januari 2019
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ukwala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |