Kaunti ya Kisii
Mandhari
Kaunti ya Kisii ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,266,860 katika eneo la km2 1,323, msongamano ukiwa hivyo wa watu 958 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Kisii.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Kisii ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Etago 83,787
- Gucha 83,740
- Gucha South 83,623
- Kenyenya 131,740
- Kisii Central 166,906
- Kisii South 135,134
- Kitutu Central 154,175
- Marani 107,464
- Masaba South 122,396
- Nyamache 130,898
- Sameta 66,99
Uchumi
[hariri | hariri chanzo]Wakazi wengi wa kaunti hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya kifedha. Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, ndizi na chai.[4].
Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mazao ya kilimo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Mji wa Kisii
- Orodha ya mito ya kaunti ya Kisii
- Wilaya ya Gucha (Kisii Kusini)
- Wilaya ya Nyamira (Kisii Kaskazini)
- Wilaya ya Kisii Kati
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Kisii-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Kisii.com
- NPR Masimulizi kuhusu Lugha ya Kikisii
- Mradi wa Fulda-Mosocho Archived 22 Julai 2015 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kisii kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |