Kaunti ya Nyamira
Mandhari
Kaunti ya Nyamira ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 605,576 katika eneo la km2 897.3, msongamano ukiwa hivyo wa watu 675 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Nyamira.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Nyamira ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
Eneo bunge | Kata |
---|---|
Borabu | Mekenene, Kiabonyoru, Esise, Nyansiongo |
Kitutu Masaba | Rigoma, Gachuba, Kemera, Magombo, Manga, Gesima |
Mugirango Kaskazini | Itibo, Bomwagamo, Bokeira, Magwagwa, Ekerenyo |
Mugirango Magharibi | Nyamaiya, Bogichora, Bosamaro, Bonyamatuta, Mugirango Mjini |
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Borabu 73,167
- Manga 94,209
- Masaba North 111,860
- Nyamira North 167,267
- Nyamira South 159,073
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Nyamira-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Nyamira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |