Kaunti ya Uasin Gishu
Mandhari
Kaunti ya Uasin Gishu ni mojawapo za kaunti za Kenya zilizobuniwa baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupitishwa mwaka 2010. Uasin Gishu ni kaunti nambari 27 kulingana na orodha uliobuniwa kurahisisha utambulizi.
Wakati wa sensa uliofanyika mwaka 2019 ,idadi ya wakaazi ilikuwa 1,163,186 katika eneo la km2 3,392.2, msongamano ukiwa hivyo wa watu 343 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Eldoret.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Uasin Gishu imegawiwa katika maeneo bunge yafuatayo:
Eeneo bunge | Kata |
---|---|
Ainabkoi | Kapsoya, Kaptagat, Ainabkoi/Olare |
Kapseret | Simat/Kapseret, Kipkenyo, Langas, Megun, Ngeria |
Kesses | Cheptiret/Kipchamo, Racecourse, Tulwet/Chuiyat, Tarakwa |
Moiben | Karuna/Meibeki, Kimumu, Moiben, Sergoit, Tembelio |
Soy | Kapkures, Kipsomba, Kuinet/Kapsuswa, Moi's Bridge, Segero/Barsombe, Soy, Ziwa |
Turbo | Huruma, Kamagut, Kapsaos, Kiplombe, Ngenyilel, Tapsagoi |
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2]
[hariri | hariri chanzo]- Ainabkoi 138,184
- Kapseret 198,499
- Kesses 148,798
- Moiben 181,338
- Soy 229,094
- Turbo 267,273
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Uasin Gishu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |