Vivumishi vya kuuliza
Mandhari
Mifano |
---|
|
Vivumishi vya kuulizia ni maneno yanayoulizia taarifa inayohusu nomino au kiwakilishi cha nomino.
- Mifano
- Mzee yupi anaumwa?
- Miti mingapi imekatwa?
- Unafanya kazi gani?
- Chakula kipi ni kitamu?
- Mwalimu yupi anafundisha vizuri?
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya kuuliza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |