Vivumishi vya idadi
Mandhari
Mifano |
---|
|
Vivumishi vya idadi (pia" Vivumishi vya kiasi) ni neno/maneno yanayotoa taarifa ya idadi ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino. Idadi hiyo inaweza kuwa ya jumla au idadi kamili au halisi.
- Mifano
- Wanafunzi wawili wamelala darasani
- Wajumbe sita wamesimamishwa
- Nyoka wengi wana sumu kali
- Maembe machache yameiva
- Wananchi wengi wameandamana
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya idadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |