Vivumishi vya -a unganifu
Mandhari
Mifano |
---|
|
Vivumishi vya -a unganifu ni maneno yanayotoa taarifa ihusuyo nomino au kiwakilishi cha nomino kwa kuunganisha taarifa hiyo ya nomino kwa kutumia mzizi wa -a unganifu.
- Mifano
- Chakula ch-a mtoto hakijapikwa
- Jiko L-a kupikia limelipuka
- Mwalimu w-a Kiswahili amesafiri
- Ndizi z-a Bukoba ni tamu
- Gari y-a jirani imeibiwa
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya -a unganifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |