Mkwaju
Mandhari
Mkwaju (Tamarindus indica) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkwaju porini
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mkwaju, msisi au makombe (jina la kisayansi: Tamarindus indica) ni mti mkubwa wa familia Fabaceae ambao asili yake ni Afrika Mashariki na India.
Tunda lake huitwa ukwaju ambalo lina umbo jembamba, rangi ya kijani likiwa bichi au ya kaki linapoiva na lina nyama gwadu ilikayo hasa kama kiungo katika vyakula na vinywaji.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani
-
Maua
-
Ua
-
Ukwaju mtini
-
Ukwaju
-
Ukwaju sokoni
-
Ukwaju, nyama na mbegu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkwaju kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |