Mkarakara
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Mkarakara (Passiflora spp.) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi >500; 4 zinakuzwa katika Afrika ya Mashariki:
|
Mikarakara au mipesheni ni mimea mitambazi ya jenasi Passiflora katika familia Passifloraceae. Matunda yake huitwa makarakara au mapesheni. Kuna takribani spishi 550.
Asili ya mimea hiyo ni Amerika, ya Kati na ya Kusini hasa. Siku hizi spishi kadhaa hukuzwa sana katika ukanda wa tropiki, na katika Afrika ya Mashariki mkarakara-jeusi na mkarakara-tamu na mkarakara-njano inajulikana sana tangu mwanzo mwa karne ya 21.
Spishi zinazokuzwa katika Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Passiflora edulis
- P. edulis forma edulis Mkarakara-jeusi
- P. edulis forma flavicarpa Mkarakara-njano
- Passiflora ligularis Mkarakara-tamu
- Passiflora quadrangularis Mkarakara-kubwa
- Passiflora tarminiana au Passiflora tripartita var. mollissima (uainishaji umechanganyika) Mkarakara-ndizi
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mkarakara-njano
-
Mkarakara-tamu
-
Mkarakara-kubwa
-
Mkarakara-ndizi
-
Karakara jeusi
-
Karakara njano
-
Karakara tamu
-
Karakara kubwa
-
Karakara-ndizi
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkarakara kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |