Jina la kuzaliwa
Mandhari
Jina la kuzaliwa (kwa Kiingereza: birth name, full name, legal name au en:Personal name) ni kundi la majina ambalo kwa pamoja linamtambulisha mtu maalumu. Katika tamaduni kadhaa ni majina mawili, katika nyingine ni matatu, ambapo la kwanza ni la mwenyewe, la pili la baba, la tatu la babu au la ukoo[1]. Tamaduni chache zinatumia jina moja tu au zaidi ya tatu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Arabic Naming System" (PDF). councilscienceeditors.org (kwa Kiingereza). 28 (1): 20–21. Februari 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-09-10. Iliwekwa mnamo 2018-09-21.
{{cite journal}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Matthews, Elaine; Hornblower, Simon; Fraser, Peter Marshall, Greek Personal Names: Their Value as Evidence, Proceedings of the British Academy (104), Oxford University Press, 2000. ISBN 0-19-726216-3
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Varying use of first and family names in different countries and cultures
- Falsehoods Programmers Believe About Names
- Lexicon of Greek Personal Names, contains over 35,000 published Greek names.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jina la kuzaliwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |