[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Wamakua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:12, 13 Januari 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya Bizzjohn (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Wamakhuwa

Wamakua (jina lao pia huandikwa Wamakhuwa) ni kabila kubwa lenye milioni kadhaa za watu wanaoishi hasa nchini Msumbiji upande wa Kaskazini. Nchini Tanzania kuna Wamakua wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara, Wilaya ya Masasi na Wilaya ya Nanyumbu.

Lugha zao ni aina mbalimbali za Kimakua. Lugha ya Kimakua inayozungumzwa nchini Tanzania ni Kimakhuwa-Meetto.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamakua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.