[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Tokat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Miongoni mwa majengo ya kale ya mjini hapa.

Tokat ni mji uliopo katika mkoa wa Bahari Nyeusi ya Anatolia huko nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Tokat. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji wa Tokat una wakazi takriban 113,100 wanaoishi katika mji huu.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tokat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.