Prasede wa Roma
Mandhari
Prasede wa Roma (alifariki mjini Roma, Italia, 165 hivi[1]) alikuwa Mkristo ambaye kwa heshima yake jijini Roma lilijengwa mapema kanisa maarufu[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira na mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Julai[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ de Voragine, Jacobus (1995). William Granger Ryan (mhr.). The Golden Legend Vol. 1. Princeton UP. uk. 374. ISBN 978-0-691-00153-1. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2010.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/63850
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |