Sinop (Uturuki)
Mandhari
Sinop (Kigiriki: Σινώπη au Sinópe) ni jina la mji uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 47,000. Mji huu kihistoria unajulikana kama Sinope. Pia, huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Sinop.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- John Garstang, The Hittite Empire (University Press, Edinburgh, 1930).
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Sinop, Turkey Governorship Website Archived 15 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
- Official Web Site of Sinop Archived 2 Septemba 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sinop (Uturuki) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |