[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Santino wa Verdun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Santino wa Verdun (270 hivi - Verdun, Galia Kaskazini, leo Ufaransa, 356) alikuwa mwinjilishaji na askofu wa kwanza wa jimbo la Meaux na la mji huo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Oktoba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.