[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kindred (Heroes)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Kindred"
Sehemu ya Heroes

Ando finds Hiro's messages from the past.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 3
Imetungwa na J. J. Philbin
Imeongozwa na Paul Edwards
Tayarisho la 203
Tarehe halisi ya kurushwa 8 Oktoa 2007
Waigizaji wageni
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Lizards" "The Kindness of Strangers"
Orodha ya sehemu za Heroes

"Kindred" ni sehemu ya tatu ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes. Kipengele hik kilitungwa na J. J. Philbin na kuongozwa na Paul Edwards. Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. 8 Oktoba, 2007.

Sylar anaamka akiwa ufukweni mwa kisiwa, kavurugika, pembeni akiwa na mwanamama anayeitwa Michelle. Anamwelezea ya kwamba yeye ni Candice Wilmer kwa kujifanya, na hivyo basi anatengeneza kiini macho cha pepo wakati akijiugiza kwa kufuatia majeraha aliyoyapata. Sylar akaanza kutia shaka, tendo lililopelekea binti yule kukata kiini macho kile na kumuonesha picha ya halisi ya wao kuwa katika kijumba kimoja katikati mwa msitu mzito.

Wakati anaendelea kupona, Sylar anagundua ya kwamba hawezi kutumia vipawa vyake alivyovipata hapo awali. Michelle anamweleza ya kwamba vipawa vyake vitarudi, kwa msaada wake, lakini kwanza apone. Ametafakari namna ya kuzipata nguvu zake upya, Sylar anasema ya kwamba "ataanza na yeye," na kumbamiza na kikombe cha kahawa kwenye kichwa chake. Baada ya kujaribu kuchukua nguvu za Michelle, hata hivyo, hakuweza kuzitumia, kisha anagundua kama yupo peke yake na hana wa kumpa msaada na yupo mahali ambapo hapaeleweki

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]