[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Airbus A380

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Airbus A380
Airbus A380

Airbus A380 (pia inaitwa "Super-jumbo-jet") ni ndege ya injini nne, yenye sakafu mbili, iliyotengenezwa na kampuni ya Airbus. Ndiyo ndege ya abiria iliyo kubwa zaidi duniani, kubwa kuliko Boeing 747 Jumbo Jet. Hata hivyo, siyo ndege kubwa zaidi duniani; maana Antonov An-225 ni kubwa zaidi.

Airbus A380 inaweza kubeba abiria 850 (lakini kwa kawaida hubeba takriban abiria 525), na huzidi tani 550. Ina injini nne za Rolls-Royce Trent 900 au nne ya ''GP7000''.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.