[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Paa (Bovidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:51, 13 Januari 2013 na Mmaruska (majadiliano | michango)
Paa
Nsya (Sylvicapra grimmia)
Nsya (Sylvicapra grimmia)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
Nusufamilia: Cephalophinae (Wanyama walio na mnasaba na paa)
Jenasi: Cephalophus Hamilton Smith, 1827

Philantomba Blyth, 1840
Sylvicapra Ogilby, 1837

Spishi: Angalia katiba

Paa (pia huitwa: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni neno la kawaida kwa mnyama mdogo wa Afrika anayefanana na swala na ana pembe fupi.

Spishi

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.