Kongoni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Alcelaphus)
Kongoni | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kongoni
(Alcelaphus buselaphus cokii) | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Nususpishi 8:
| ||||||||||||||||||
Misambao ya nususpishi za kongoni
|
Kongoni ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Alcelaphus katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi A. buselaphus cokii lakini siku hizi nususpishi zote huitwa kongoni. Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni ya mchanga lakini tumbo na matako ni nyeupe. Wana kichwa kirefu na pembe zao zimepindika na zina umbo wa zeze zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula manyasi.
Nusupishi
[hariri | hariri chanzo]- †Alcelaphus b. buselaphus, Kongoni Kaskazi (Northern hartebeest) - ameisha sasa
- Alcelaphus b. caama, Kongoni Mwekundu (Red hartebeest)
- Alcelaphus b. cokii, Kongoni Mashariki (Coke's hartebeestl)
- Alcelaphus b. lelwel, Kongoni Lelweli (Lelwel hartebeest)
- Alcelaphus b. lichtensteinii, Kongoni wa Lichtenstein au Konzi (Lichtenstein's hartebeest)
- Alcelaphus b. major, Kongoni Magharibi (Western hartebeest)
- Alcelaphus b. swaynei, Kongoni wa Swayne (Swayne's hartebeest)
- Alcelaphus b. tora, Kongoni Tora (Tora hartebeest)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kongoni mwekundu
-
Kongoni lelweli
-
Kongoni wa Lichtenstein
-
Kongoni magharibi
-
Kongoni wa Swayne
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kongoni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.