[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Kikannada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 18:35, 5 Januari 2024 na Bushasha (majadiliano | michango) (Link suggestions feature: 2 links added.)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kikannada ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakannada. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikannada imehesabiwa kuwa watu milioni 37 na lakhi saba. Tena, watu milioni tisa huitumia kama lugha ya mawasiliano. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikannada iko katika kundi lake lenyewe la Kikannada.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikannada kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.