[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Jozi (tunda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:37, 30 Desemba 2012 na Synthebot (majadiliano | michango) (r2.7.3) (Robot: Modifying war:Liso (bunga) to war:Nuwes (bunga))
Jozi iliyofunguliwa

Jozi ni mbegu kavu za mimea kadhaa zinazoliwa kama chakula cha kibinadamu. Kibotania mbegu huitwa jozi kama tunda lina mbegu moja hadi mbili tu ndani yake na ganda linalozunguka mbegu yenyewe linakauka kuwa ngumu kama ubao.

Jozi ni chakula bora yenye mafuta na protini ndani yake pamoja na vitamini mbalimbali.


Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jozi (tunda) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jozi (tunda) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya Nje