[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Mto Kakedmosing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 07:07, 15 Julai 2018 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' unapatikana katika kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki). Maji...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mto Kakedmosing unapatikana katika kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika ziwa la magadi linaloitwa Turkana na lililo kubwa kuliko maziwa yote ya Kenya. Ni pia ziwa la jangwani lililo kubwa kuliko yote duniani.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]