Mto Ewaso Ng'iro
Mandhari
Mto Ewaso Ng'iro unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Lagh Dera ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.Pia Mto huu jina lake limetoka katika jamii fulani ,ambao umaanisha mto wa kaki au matope na pia unaafahamika kama mto "Ewaso Nyiro"
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Ewaso Ng'iro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |