Schleswig-Holstein
Schleswig-Holstein ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2,8 kwenye eneo la 15,763 km². Mji mkuu ni Kiel. Waziri mkuu ni Torsten Albig (SPD).
Jiografia
haririSchleswig-Holstein ni sehemu ya kaskazini kabisa ya Ujerumani ikipakana na Denmark upande wa kaskazini. Kwa kusini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Mecklenburg-Pomerini, Saksonia ya chini na Hamburg. Upande wa magharibi kuna pwani la Bahari ya Kaskazini lenye visiwa vingi na upande wa mashariki iko pwani la Bahari Baltiki.
Picha za Schleswig-Holstein
haririTovuti za Nje
hariri- Schleswig-Holstein - Official Website (also in English) Archived 16 Aprili 2015 at the Wayback Machine.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Schleswig-Holstein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |