Bavaria
Bavaria (Kijerumani: Bayern) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 12,5 kwenye eneo la 70 551 km². Mji mkuu ni München. Waziri mkuu ni Markus Söder (CSU).
Jiografia
haririHesse imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Baden-Württemberg, Hesse, Thuringia na Saksonia.
Miji mikubwa ni pamoja na München, Nürnberg, Augsburg na Würzburg.
Picha za Bavaria
haririTovuti za Nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bavaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |