[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Yoana wa Valois

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Yoana alivyochorwa enzi za uhai wake.

Yoana wa Valois, O.Ann.M., (Nogent-le-Roi, Ufaransa, 23 Aprili 1464Bourges, Ufaransa, 4 Februari 1505) alikuwa binti mfalme wa Ufaransa na kwa muda mfupi malkia wa nchi.

Baada ya ndoa yake na Alois XII kutangazwa batili alikazania maisha ya kiroho na kutafakari juu ya msalaba wa Yesu akaanzisha monasteri akawa abesi mwanzilishi wa masista wamonaki wa Shirika la Bikira Maria Kupashwa Habari.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XIV tarehe 18 Juni 1742 halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 28 Mei 1950.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 4 Februari[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Hale, J. R., Renaissance Europe: Individual and Society, 1480–1520, New York: Harper & Row, 1972.
  • Jones, Terry. "Patron Saint Index". Catholic Forum website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2021. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)Retrieved 27 June 2008
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.