[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uzidishaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ya uzidishaji.

Katika hisabati, uzidishaji (kwa Kiingereza: multiplication) ni mojawapo kati ya vitendaji vinne vya hesabu(pamoja na ujumulishaji, utoaji na ugawanyaji). Uzidishaji ni kinyume cha ugawanyaji. Alama ya uzidishaji ni ×.[1][2]

Mfano wa 3 × 4 = 12 magololi.

Kwa usahihi, uzidishaji ni tendo la kujumulisha namba fulani mara kadhaa. Kwa mfano:

  1. Hisabati: Kitabu cha Mwanafunzi: Darasa la Tatu (tol. la 2). Taasisi ya Elimu Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-04-18.
  2. Kinyondo, Abel. Mazoezi ya hisabati kwa kadi. University of Dar es Salaam Press.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uzidishaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.