[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Kimataifa wa Yokohama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kimataifa wa Yokohama

Uwanja wa Kimataifa wa Yokohama ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1997 kwenye mji wa Yokohama, Kanagawa nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Yokohama F. Marinos na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 72,370.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Kimataifa wa Yokohama kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.