[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Ningineer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Ningineer

Uwanja wa Michezo wa Ningineer ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1979 kwenye mji wa Matsuyama, Ehime Shikoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Ehime FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ningineer kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.