[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Nagano Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Nagano Athletics

Uwanja wa Michezo wa Nagano Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1976 kwenye mji wa Nagano, Nagano Chūbu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya AC Nagano Parceiro na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,200 (expanded).[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Nagano Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.