[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Maeda Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Maeda Arena

Uwanja wa Michezo wa Maeda Arena ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2019 kwenye mji wa Aomori city, Aomori nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya ReinMeer Aomori na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,809.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Maeda Arena kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.