[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Osaka Expo '70

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Osaka Expo '70

Uwanja wa Michezo wa Osaka Expo '70 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1972 kwenye mji wa Suita, Osaka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Gamba Osaka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 21,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Osaka Expo '70 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.