[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Iwaki Athletics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Iwaki Athletics

Uwanja wa Michezo wa Iwaki Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1971 kwenye mji wa Iwaki, Fukushima Tōhoku nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Fukushima United FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 14,766.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Iwaki Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.