[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Kitakami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Kitakami

Uwanja wa Michezo wa Kitakami ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1997 kwenye mji wa Kitakami, Iwate nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Iwate Grulla Morioka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 22,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kitakami kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.