[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Karatsu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Karatsu

Uwanja wa Michezo wa Karatsu ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Karatsu, Saga nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sagan Tosu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 6,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Karatsu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.