[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Gifu Nagaragawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Gifu Nagaragawa

Uwanja wa Michezo wa Gifu Nagaragawa ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1991 kwenye mji wa Gifu city, Gifu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya F.C. Gifu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 26,109.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Gifu Nagaragawa kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.