[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Ususi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ususi
Mifano ya ususi

Ususi (kutokana na kitenzi kusuka) ni kitendo cha kupitisha chane za ukindu wakati wa kutengeneza kili au nywele zenyewe kwa zenyewe kwa madhumuni ya kupata mfumo fulani ulioshikana.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ususi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.