[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Teresa wa Ureno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teresa wa Ureno, O.Cist. (Ureno, 1176abasia ya Lorvao, 18 Juni 1250) alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu wa Ureno aliyeolewa na mfalme Alfonso IX wa Leon, leo nchini Hispania, akamzalia watoto watatu, lakini baadaye alijiunga na monasteri ya Kibenedikto ambayo alikuwa ameianzisha; hatimaye akaiunganisha na urekebisho wa Citeaux akaweka nadhiri[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 17 Juni[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.