Talca
Mandhari
Talca | |
Majiranukta: 35°25′59″S 71°40′00″W / 35.43306°S 71.66667°W | |
Nchi | Chile |
---|---|
Mkoa | Maule |
Wilaya | Talca |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 238,817 |
Tovuti: www.talca.cl/ |
Talca ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Maule katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 240,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 102 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Talca kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |