Tours
Mandhari
Tours | |
Mahali pa mji wa Tours katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 47°23′37″N 0°41′21″E / 47.39361°N 0.68917°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Centre |
Wilaya | Indre-et-Loire |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 136,942 |
Tovuti: www.tours.fr |
Tours ni mji wa Ufaransa ya kati mwenye wakazi 137,000. Uko kando la mto Loire.
Mji unajulikana kihistoria kutokana na askofu Martin wa Tours (mnamo 370) anayekumbukwa kama mtakatifu katika kanisa katoliki.
Mwaka 732 mfalme wa Wafranki Karolo Martell alishinda jeshi la Waarabu katika mapigano ya Tours na Poitiers na kuzuia uenezaji wa Uislamu katika Ulaya ya Magharibi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tours kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |