[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Wang Shuang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wang akiwa na PSG mnamo 2019

Wang Shuang (alizaliwa 23 Januari 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka China ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya China.[2]

  1. https://web.archive.org/web/20190708190751/https://tournament.fifadata.com/documents/FWWC/2019/pdf/FWWC_2019_SQUADLISTS.PDF
  2. "Women's World Cup Group D guide", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-28
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wang Shuang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.