Wabantu
Mandhari
Neno Wabantu linaweza kumaanisha:
- Kuenea kwa Bantu, mfululizo wa uhamiaji jamii za Bantu
- Lugha za Kibantu
- Jamii za Wabantu, zaidi ya makundi 400 ya barani Afrika ya jamii zinazotumia lugha za kibantu
- Bantustan, ardhi iliyotengewa Waafrika weusi wa nchi ya Afrika Kusini wakati wa kipindi cha ubaguzi wa rangi
Neno Bantu linaweza kumaanisha:
- Muungano wa Waafrika wa Uzalendo kupitia kwa Umoja, kikundi cha wanaharakati vijana katika miaka ya 1960