Wolframi
Mandhari
Wolframi (wolframium; Kiing. Tungsten) | |
---|---|
Punje za wolframi katika testitubu
| |
Jina la Elementi | Wolframi (wolframium; Kiing. Tungsten) |
Alama | W |
Namba atomia | 74 |
Mfululizo safu | Metali ya mpito |
Uzani atomia | 183.84 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 12, 2 |
Densiti | 19.25 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 3695 K (3422 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 5828 K (5555 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 6 · 10-3 % |
Hali maada | mango |
Wolframi ni metali yenye namba atomia 74 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 189.84. Alama yake ni W. Wolframi ina kiwango cha kuyeyuka cha juu kabisa kati ya metali zote.
Matumizi yake ni hasa kwa taa pia katika aloi za feleji.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wolframi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |