[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Richard Mganga Ndassa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Mganga Ndassa (21 Machi 1959Dodoma, 29 Aprili 2020) alikuwa mbunge wa jimbo la Sumve katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Alitokea katika chama cha CCM.

Kabla ya kuingia bungeni Ndassa, aliyekuwa na cheti cha Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam, alikuwa meneja mauzo kwenye gazeti la Mfanyakazi kuanzia 1981 hadi 1996[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Richard Mganga Ndassa". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Hon. Richard Mganga Ndassa, tovuti la Bunge Tanzania, iliangaliwa Aprili 2020