Skrinikugusa
Mandhari
Katika utarakilishi, skrinikugusa (pia: skrini ya kugusa[1]; kwa Kiingereza: touchscreen au touch screen) ni viwambo vinavyoweza kuwa kitumi cha kiingizio au kitumi cha kitoleo ambavyo vinawekwa juu ya kitumi cha kielektroniki kama vile kompyuta bapa au simujanja. Kwa kawaida, uonyesho wa srinikugusa ni LCD au OLED.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Chapisha picha unazopiga za digrii 360. Chagua bidhaa inayoweza kutumika kwenye Taswira ya Mtaa". Google Maps Street View. Iliwekwa mnamo 2020-12-24.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |