Sigtuna
Mandhari
Sigtuna ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 20,204 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 980 .
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 3.95 km². Iko kando ya Ziwa Mälaren. Umbali na Jiji la Stockholm ni 40 km.
-
Gofu la kanisa la Mtume Olof
-
Storgatan (barabara kubwa)
-
Jiwa ya Rune katika Sigtuna
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sigtuna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |