Seleni
Mandhari
Seleni | |
---|---|
Rangi mbalimbali za Seleni
| |
Jina la Elementi | Seleni |
Alama | Se |
Namba atomia | 34 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 78.96 |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 494 K (221 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 957.8 K (684.6 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 8 · 10−5 % |
Hali maada | imara |
Seleni ni elementi simetali yenye namba atomia 34 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 78.96. Alama yake ni Se. Kwenye hali sanifu ni imara.
Ni haba sana duniani lakini imo ndani ya seli za mada hai.
Hupatikana kwa maumbo mbalimbali yenye tabia tofauti yanayotofautiana kwa rangi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Mfumo radidia
- Orodha ya elementi
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seleni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |