[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Mto Van Stadens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daraja la Mto Van Stadens

Mto Van Stadens unapatikana katika jimbo la Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini.

Lango la Mto Van Stadens lipo umbali wa takribani kilomita 30 magharibi mwa bandari ya Elizabeth. Jina la mto huu ulitokana na mwanzilishi wa wakulima katika eneo hilo linaloitwa Marthinus van Staden. [1] Korongo la Van Stadens hutokana na miamba ya Paleozoic inayounda mlima Table. [2]

Sehemu za juu hadi za kati huwa na miinuko mikubwa, yenye kuchangia kiwango kidogo cha virutubisho asilia pembezoni mwa mto na kukwamisha shughuli nyingine za kibinadamu kama vile kilimo.[2] Barabara kuu ya taifa, N2 hupita katika daraja la Van Stadens na eneo hili hutambulika kama eneo la kujitoa mhanga.[3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Van Stadens Pass (R102). Mountain Passes South Africa. Accessed 24 July 2017.
  2. 2.0 2.1 Gama, PT, Adams, JB, Schael, DM and Skinner T. 2005. Phytoplankton Chlorophyll: A concentration and community structure of two temporarily open/closed estuaries. Department of Botany, Nelson Mandela Metropolitan University. Accessed 26 July 2017.
  3. Sellick, W.S.J (1904). Uitenhage, past and present : souvenir of the Centenary, 1804-1904. W.S.J. Sellick. uk. 195.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Van Stadens kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.