[go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Mto Omo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Delta ya mto Omo.

Mto Omo unapatikana nchini Ethiopia na unamwaga maji yake katika ziwa Turkana: ndio mto unaochangia kwa wingi zaidi (90% hivi) ziwa hilo lililo kubwa kuliko maziwa yote ya jangwani duniani kote.

Pia ndio mto mkubwa zaidi (km 760) kati ya ile ya Ethiopia nje ya beseni la Naili[1].

Matawimto yake ni Mto Usno, Mto Mago, Mto Neri, Mto Mui, Mto Mantsa, Mto Zigina, Mto Denchya, Mto Gojeb, Mto Gibe, Mto Gilgel Gibe, mto Amara, mto Alanga, Mto Maze na Mto Wabe.

Upande wa chini wa bonde lake umeorodheshwa na UNESCO kama urithi wa dunia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Climate, 2008 National Statistics (Abstract)" Ilihifadhiwa 13 Novemba 2010 kwenye Wayback Machine., Table A.1. Central Statistical Agency website (accessed 26 December 2009)
  • Butzer, Karl W. (1971). Recent history of an Ethiopian delta: the Omo River and the level of Lake Rudolph, Research paper 136, Department of Geography, University of Chicago, 184 p., LCCN 70-184080
  • Camerapix (2000). Spectrum Guide to Ethiopia, First American Ed., Brooklyn: Interlink, ISBN 1-56656-350-X
  • Crandall, Ben (2007). The Omo River Valley, eMuseum @ Minnesota State University, Mankato; website accessed 31 October 2007
  • Hurd, W. (2006). "Rangers by Birth", Cultural Survival Quarterly, 30.2, website accessed 31 October 2007
  • UNESCO World Heritage Centre (2007). Lower Valley of the Omo, World Heritage List, website accessed 31 October 2007
  • Vannutelli, L. and Citerni, C. (1899). Seconda spedizione Bòttego: L'Omo, viaggio d'esplorazione nell'Africa Orientale, Milano : Hoepli, 650 p.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Omo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.