Mkoa wa Marahoué
Mandhari
Mkoa wa Marahoué | |
Mahali pa Mkoa wa Marahoué (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Sassandra-Marahoué |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Sassandra-Marahoué |
Serikali[1] | |
- Prefect | Gbamele Kouame Adrien |
- Rais wa Baraza | Abi Koffi Richmond |
Eneo[2] | |
- Jumla | 4,222,48 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 862,344 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Marahoué (kwa Kifaransa: Région de la Marahoué) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Magharibi ya Kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaflé. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 862,344.
Marahoué kwa sasa imegawanywa katika wilaya tano:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Marahoué" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Marahoué kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |